Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Wednesday, July 30, 2014

Baada ya ujio mpya wa Ali Kiba, Huddah Monroe aeleza hisia zake kwa Kiba

Ujio mpya wa Ali Kiba ulikuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wake ambao wanaoenesha kumpokea kwa mikono miwili tangu alipotambulisha nyimbo zake mbili ‘Mwana na Kimasomaso’, ingawa Mwana imeonekana kupenya zaidi. 

Mrembo wa Kenya aliyewahi kuwa mshiriki wa Big Brother Africa, Huddah Monroe aka The BossChick alikuwa mmoja kati ya mashabiki wa dhati walioimiss sauti ya Ali Kiba na hivi sasa wamenaswa na ujio wake mpya. 

Kupitia Instagram, Huddah amepost snippet ya ujio wa Ali Kiba na kuandika ujumbe unaoonesha hisia zake kwa sauti ya mwimbaji huyo. 

“Whaaaatttttt!!!!!!!!! I was wondering where @officialalikiba had gone to! Sauti ya kumtoa nyoka pangoni! Still my favourite Tanzanian Artist, the real definition of Bongo Flava! Duh!!”