Wizara ya Fedha imekoposhwa Bilioni 498 kwa ajili ya uboreshaji wa majiji makubwa hapa nchini, kuboresha miundombinu ya maji safi na salama, miundombinu ya maji taka, ujenzi wa vituo vya mabasi pamoja kuboresha vichwa vya treni na reli.
Servacius Likwelile alisema kuwa, pesa hizo zitatumika ipasavyo ili kuweza kupunguza changamoto mbalimbali ambazo zinaikabili sekta ya maji, reli na majiji kuwa na miundombinu mibovu.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kutoka nchi tatu za Afrika Tanzania, Burundi na Uganda Philipe Dongier alisema kuwa, fedha hizo zitatumika kujenga majiji mbalimbali ambayo kwa sasa yako katika hali mbaya, lengo kubwa ni kuhakikisha kunakuwa na maendeleo katika upatikanaji wa maji safi na salama, usafiri wa mabasi na treni.
Aidha Dongier alisema kuwa Benki ya Dunia itaendelea kuikopesha Tanzania katika kuhakikisha inakuwa na maendeleo hadi mwaka 2025.
Popular Posts
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us