Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Thursday, July 10, 2014

Bob Junior atambulisha kundi lake, awaponda Micharazo

Rais wa Masharobaro Bob Junior ametambulisha rasmi kundi lake la Team Sharobaro ambalo linaundwa na Bonge la Nyau, Rapper Kinyozi, Bi Shop Mapoz, Alinda (First Lady wa Sharobaro), na yeye mwenyewe.

Utambulisho wa Team Sharobaro umefanyika katika kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio ambapo kundi hilo limeutambulisha pia wimbo wao mpya unaoitwa Alele. 
Bob Junior ameeleza kuwa katika wimbo huo pia lipo jibu lake kwa Mr Blue ambaye alikaririwa akisema kuwa hakuna Masharobaro hivi sasa. 
Hakuna mwandiko wa wima wala wa ‘micharazo hapa’…