Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Friday, July 4, 2014

Hiki hapa alicho andika Dj Fetty kwenye page yake ya facebook kuhusiana na ugomvi ulio zuka juzi kwenye XXL

Ugomvi wa watangazaji wa Clouds FM umesababisha kila mmoja wao aongelee lake bada ya kuibuka ndani ya XXL.
Ila haya ni aliyo sema DJ Fetty leo kwenye account yake ya facebook.
''tukio lote lilikuwa na kusudi la kuelimisha jamii, natumai wote tume elimika kutokana na tukio hili ni kwamba tuna nguvu kwa pamoja ya kutokomeza mambo yatakayoweza kuleta ugomvi kwenye jamii, cha kufanya ni ku #PazaSauti kwani #UkimyaHausaidii kwa kufanya hivi tutaleta amani na upendo kwenye jamii''