Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Sunday, July 6, 2014

Katika siku kuu ya kuzaliwa mama yake, Haya ndiyo aliyo sema Diamond Platnumz kwa mama yake

Leo Monday 7, July, 2014 ikiwa siku kuu ya wafanya biashara na pia mwimbaji wa nyimbo za bongo fleva na mshindi wa tuzo za CORA kwa upande wa msanii mkali kutoka Afrika Mashariki, Diamond Platnumz mama yake mzazi akishereka siku kuu yake ya kuzaliwa.

Kupitia account yake ya Instagram, Mwimbaji Diamond Platnumz ameandika haya.

''🎂💞💞Happy Birthday Mom💞💞🎂''
''Kitu kimoja tu nnachopenda siku zote uamini ni kwamba, Bila wewe nisingeweza kabisa kuwa Hapa nilipo leo!...Happy Birthday My luvly mum, mwenyez mungu aendelee kukupa Maisha maref yenye Furaha Afya na amani tele ili uzidi kuniongoza vyema Mwanao 😙😙... Africa!! can you please help me to wish my Mum a Happy birthday.....😓''