Mwimbaji wa nyimbo nchini Nakaaya Sumari aliye zalia Tanzania nakukuklia nchini Kenya ameachilia website yake inayoonyesha shughuli zote anazo zifanya ikiwemo sehemu ya Music, Video na Biography ili kuzidi kujitangaza zaidi.
Mwimbaji huyu ambaye hivi karibuni alifunguka kuwa baada ya kupata mtoto wake wa kwanza amepata nguvu ya kuimba tena na kuachilia ngoma iitwayo 'Blessing' iliyo fanyiwa production na DX wa Noizmekah jijini Arusha.
Website yake inaitwa Nakaaya Sumari ambayo tayari ipo online kwa sasa.
Tuesday, July 1, 2014
Nakaaya Sumari kafunguwa website yake itakayo onyesha kazi na shughuli anazo zifanya
Labels:
Entertainment,
Future