Baada ya ku-make headlines kuanzia West Africa hadi bongo, msanii Yemi Alade ambaye juzi kati tu alikuwa anasumbua kwenye media na wimbo wake wa “Johny”, ulioteka mamia ya watzee, hivi sasa amekuja na hit single nyingine ambayo inatarajia kupenya na kupemdwa zaidi tena kama ilivyofanya wimbo wake wa Johny ambao hadi hivi sasa unaendelea kupigwa kila kukicha katika media za hapa Bongo, huu ndio ujio wake mwingine kabisa, nyimbo inaitwa “Tangerine“, video hii aliyetengeneza ndio director aliyeiandaa video ya Diamond ya Mynumber1 remix ..anaitwa Clarence Peters.
Popular Posts
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Kindumbwe ndumbwe cha michuano ya klabu Bingwa Afrika mashariki na kati maafuru Kagame Cup kinaanza kesho ambapo mechi ya ufunguzi ya Kund...
-
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa ...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us