Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Wednesday, July 9, 2014

Picha mpya za Joh Makini kwenye kipindi cha Coke Studio Kenya

Rapper mwenye heshima kubwa kwenye game kwa sasa Tanzania Joh Makini amechaguliwa kushiriki kwenye msimu wa pili wa kipindi cha Coke Studio Africa kinachofanyika Nairobi nchini Kenya. Joh Makini atarekodi sehemu yake na msanii kutoka Chidinma na hii ndio picha akiwa na msanii huyo.