Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Monday, July 21, 2014

Picha: P Square Wakutana Na Ndugu Wa Micheal Jackson

Ndugu wa mfalme wa pop Micheal Jackson, Jermaine Jackson ambaye kwa sasa imeripotiwa kuwa yupo Nigeria kwa mualiko aliopewa na wasanii wa kubwa Africa P Square.

Jermaine yupo Nigeria kuongelea kufanya kazi na P Square kwenye album yao ya sita ambayo tayari nyimbo kama Testimony na zingine chache ambazo zimesharekodiwa huku tukitegemea rapper T.I Kuwepo kwenye nyimbo moja. Jermaine atahusika kwenye production na atashirikishwa kwenye baadhi ya nyimbo hizo.