Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Saturday, July 12, 2014

Picha: Siku ya sita ndani ya Coke Studio, Joh Makini na huyu mrembo wa Nigeria

Jana ilikuwa siku ya sita kwanzia rapper kutoka kampuni ya Weusi 'Joh Makini' ndani ya Coke Studio. Hizi ndizo picha alizo share Joh Makini akiwa kwenye flow akifanya yake.

Katika picha hii Joh Makini ameandika ''Mambo yamekwiiva @cokestudioafrica #day6 #rehearsal with #thisNigerianbeautifulgaal @chidinmaekile meeen she is so talented! #eastmeetswest #Nairobi #najionamimi #Africastarz @cokestudioAfr''