Picha yake ya kawaida. |
Mwandishi wa habari, mwanabloga na ripota wa kujitegemea wa KCUR, Esther Honig amekuja na wazo la Kabla na Baada wakati akifanya kazi kama meneja wa mtandao wa kijamii ambao kampuni ndogo. Mkuu wa Honig alimtambulisha wenye uwanja wa uandishi wa kujitegemea wa Fiverr ambao “ulimkutanisha na watu 40, kutoka nchi zipatazo 25 kama Sri Lanka, Ukraine, Ufilipino na Kenya. Baadhi yao ni wataalam, wengine bado ni wanafunzi.
Esther Konig aliweza kutengeneza picha za msichana mmoja akawa na muonekano wa wasichana wa mataifa 25 tofauti. Hizi ni baadhi ya picha;
Hapa akiwa na muonekano wa Uingereza. |
Muonekano wa Marekani. |
Ufilipino |
Pakistani |
Morocco |
Argentina |
Bulgaria |
Romania |
India |
Ukraine |
Palestina |
Venezuela |
Vietnam |
Srilanka |
Israel |
Italia |
Australia |
Bangladesh |
Chile |
Ujerumani |
Ugiriki |
Indonesia |