Mshambuliaji wa Brazil Neymar ameondolewa kwenye Kombe la Dunia baada ya kuvunjika mfupa mgongoni kwenye mechi ya robo fainali ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Colombia.
Neymar, 22, alikuwa akitokwa machozi wakati akibebwa kutolewa nje na kupelekwa hospitali mjini Fortaleza. Kocha Luiz Filipe Scolari alisema: “Neymar alikuwa akiwindwa, hii imekuwa ikitokea kwenye mechi tatu.”
Daktari wa timu Rodrigo Lasmar aliiambia Tv ya Michezo ya Brazil, “Kwa bahati mbaya, hatoweza kucheza, anasikitika sana”.
“Ni jambo la kawaida kwa maana ya kwamba hakuhitajiki upasuaji, ila anahitaji kupumzika ili apone”.
Lasmar aliongeza kwa kudai kwamba anahitaji majuma kadhaa ili aweze kupona.
Neymar alipona majeraha ya paja na goti na kuweza kucheza mechi ya ushindi dhidi ya Chile na Colombia.
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us