Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Tuesday, July 15, 2014

Shutuma za Victoria Kimani kuhusu Ommy Dimpoz,hiki hapa alichokisema Ommy Dimpoz mwenyewe

Siku chache zilizopita alisikika Victoria Kimani akilalamika Ommy Dimpoz kukataa kushiriki kwenye video ya wimbo wake wa Prokoto huku akisema Ommy Dimpoz alimpa sababu nyingi ikiwa ni pamoja na kumkataa Director wa Kenya.

Kupitia You heard ya July 15 Ommy Dimpoz ameongea na Soudy Brown juu ya malalamiko hayo amabayo yalitolewa na Victoria Kimani na kusema kuwa sababu haikua hiyo ila wao walichelewa kumpa taarifa ya kufanya video hiyo.