Msanii aliyekuwa anawaiwakilisha label ya Grand Pa Records kwa hits kibao, Dennis Waweru Kaggia aka DNA amemaliza mkataba wake na kuachana na label hiyo kiroho safi.
Grand Pa Records imetoa tamko rasmi kuhusu hatua waliyoifikia na DNA na kueleza kuwa mkataba wa msanii huyo ulimalizika tangu mwezi wa tano mwaka huu na pande zote mbili ziliridhia kumaliza mkataba wao bila shinikizo lolote.
Tamko hilo la Grand Pa Records limezikanusha tetesi zilizokuwepo awali kuwa DNA ameamua kuachana na label hiyo kwa kuwa mmiliki wa labe hiyo alikuwa busy sana na kushindwa kufanya kazi kama ilivyokuwa inategemewa na DNA.
Kuondoka kwa DNA katika familia ya Grand Pa bila shaka kumeacha pengo ambalo mashabiki wanalitengenezea picha. Msanii huyo alifanya vizuri akiwa na Grand Pa tangu Banjuka, Maswali ya Polisi na nyimbo za Grand Pa Family kama Fimbo.
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us