Busta Rhymes ametangaza kujiweka kando la label ya YMCMB baada ya kufanya nao kazi kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili.
Busta ameweka wazi uamuzi wake wakati akifanya mahojiano na SiriusXM katika kipindi cha Sway in The Morning huku akitoa sababu kuwa ni kutoelewana katika masuala ya ubunifu.
Busta ambaye aliwahi kuingia katika label ya Dr Dre na kushindwa kudumu pia alisema hakuna tatizo hasi katika kuondoka kwake katika label hizo bali kutofautiana katika makubaliano wakati wa masuala ya ubunifu ndio chanzo kinachopelekea mengine kuibuka.
“Kitu ambacho ni sawa na Cash Money, nilikuwa pale kwa kipindi cha miaka miwili na fursa zilikuwa kubwa kwa kipindi hicho kwa sababu ya aina ya deal iliyokuwa iliyofanyika. Kwangu mimi, huu mradi na vyote nilivyojitolea…kurekodi albam kwa kipindi cha miaka mitano.
Nilimpoteza Chris Lighty kuifanya albam hii, nilimpoteza baba yangu kuifanya albam hii. Kitu nilichokuwa naweka kwenye albam hii, sikubali kupotezea maono yangu kwa hicho.”
Busta alitangaza kujiunga na Cash Money November, 2011 lakini hajawahi kuachia albam akiwa nan a label hiyo.
Mwanzo wa mwezi huu aliachia wimbo aliomshirikisha Eminem ‘Calm Down’, na anajiandaa kuachia albam yake ya kumi inayoitwa E.L.E.2.
Part 1:
Part 2:
Part 3:
Popular Posts
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa ...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
-
Kindumbwe ndumbwe cha michuano ya klabu Bingwa Afrika mashariki na kati maafuru Kagame Cup kinaanza kesho ambapo mechi ya ufunguzi ya Kund...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us