Hii ni moja kali ya mwaka ambayo hutoweza kuamini ukisimuliwa na mtu wako wa karibu hata yule unayemuamini, Hivi sasa kampuni ya simu ya huko afrika kusini, MTN inatoa nafasi ya wateja wake kushindania zawadi ya ndege mpya kabisa.
Kwa hapa bongo tumezoea zawadi kubwa sana labda ni safari ya kwenda mahali, nyumba au gari, hii sasa ni next level, kama bado huamini hili ni tangazo jipya lilofanywa na wanamuziki maarufu huko afrika kusini, Mafikizolo.
Friday, July 4, 2014
Video: Hili ndilo shavu wanalo tembela Mafikizolo kwenye tangazo la kushinda ndege na MTN
Labels:
Entertainment