Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Sunday, August 3, 2014

Diamond Platnumz avishukuru vituo vya MTVBase Africa na Chane O Africa kwakuzidi kuunga mkono kazi za wasanii

Ikiwa ni majuma kadhaa tu tangu video ya 'Mdogo Mdogo' maarufu kwa jina la 'Kitorondo' yakwake Nasib Abdul aka Diamond Platnumz kuachiliwa kwenye mitandao na television mbali mbali, Chanel kubwa ambazo zimekuwa zinatizamwa na watu ikiwemo MTVBase Africa na Chanel O Africa wamekuwa wakiionyesha mara kwa mara kukusababisha kuzidi kumpa jina kubwa msanii Diamond. Leo kupitia account yake ya Instagram ameamuwa kurudisha shukrani yake kwakuandika haya maneno.

Thank you @mtvbaseafrica , and thank you @channeloafrica for keeping that pace of promoting African Music Constantly.... #MdogoMdogo''