Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Wednesday, August 6, 2014

Msanii Diana Elizabeth Michael aka Lulu amewafungua watu vinywa baada ya ku-post hii picha

Haijafahamika kuwa msanii wa Bongo Movie Diana Elizabeth Michael maarufu kwa jina la LULU kama alikuwa akihudhuria mazoezi GYM hadi alipo share leo picha hiyo hapo juu akiwa kaonyesha umbolake lilivyo sasa na kuandika haya maneno...
...Nimeshakuwa mwalimu.....!!!! #kihomehome #fitness #mdogomdogo''
Wengi wa fans wake wame comment picha hiyo kwa kumpa pongezi jinsi anavyo tengeneza mwili wake usiwe manyama uzembe nakupoteza mvuto kama baadhi ya wasanii wa muziki na filamu za hapa Bongo.