Maafisa wa polisi nchini Brazil wamemkamata afisa mkuu mtendaji wa kampuni mshirika wa FIFA kwa tuhuma za uuzaji tiketi za kombe la dunia kinyume na kanuni.
Ray Whelan ambaye ni meneja mkuu mtendaji wa kampuni mshirika wa FIFA Match Hospitality alikamatwa katika hoteli moja huko Rio de Janeiro , inayotumika pia na maafisa wa shirikisho la FIFA.
Juma lililopita watu wengine 11 walikamatwa kwa kuuza tiketi za kombe la dunia kinyume na kanuni za FIFA .
Polisi walisema kuwa kikundi hicho kilikuwa sehemu ya genge kubwa la kimataifa ambalo lilikuwa likiuza tiketi ambazo zilikuwa zimetengewa makundi maaluma ikiwemo tiketi zilizokuwa zimetengewa wachezaji .
Polisi nchini Brazil walisema kuwa tayari genge hilo lilikuwa limetia kibindoni takriban dola milioni 90 katika mauzo hayo ambayo yamekuwa yakiendelea katika mashindano manne ya kombe la dunia.
Kufuatia kashfa hiyo uchunguzi unaendelea kubaini iwapo baadhi ya tiketi hizo zimeuziwa watalii ambao hawakujua walikuwa wanakiuka sheria za shirikisho la soka duniani FIFA.
Kompyuta na vifaa vyengine vya kielektroniki vilikamatwa na polisi kwa uchunguzi zaidi kutopka kwa mkahawa huo wa kifahari ulioko Copa Cabana Palace Hotel
Kampuni hiyo ya Match Hospitality yenye makao yake huko Switzerland hadi sasa haijatoa taarifa zozote kufuatia ugunduzi huo.
Afisa anayeongoza uchunguzi huo Fabio Barucke, amesema kuwa afisa huyo alikuwa na hati zinazomruhusu kuingia katika afisi zote za fifa kwa hivyo alikuwa na uwezo wa kuzipata tiketi hizo. Uchunguzi unaendelea.
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us