Gwiji wa soka Alfredo Di Stefano aliyeziwakilisha timu za Argentina,Colombia,na Hispania katika michuano ya kimataifa amefariki Dunia baada ya kupata shambulio la moyo.
Nyota huyo anayetambulika kama Nembo ya klabu ya Real Madrid amefariki akiwa na umri wa miaka 88.
Raisi huyo wa heshima wa klabu ya Real Madrid alipata shambulio hilo la moyo siku ya Jumamosi karibu na mitaa iyopo Santiago Bernabeu,siku moja baada ya sherehe yake ya kuzaliwa na kutimiza umri wa miaka 88,mauti yalimfika siku ya leo Jumatatu baada ya hali yake ya kiafya kuzorota gafla..
Di Stefano alianza kipaji chake cha soka akicheza klabu ya River Plate na baadae akahamia Madrid ambapo awali akitokea klabu ya Millonarios ya nchini Colombia mwaka 1953,katika kipindi hicho alikaribia pia kujiunga na Barcelona.
Gwiji huyo aliiwezesha klabu yake ya Bernabeu kubeba mataji nane ya Liga na makombe matano ya European Cups kati ya miaka 1953 na 1964 Mkalii huyo wa magoli aliweza kufunga magoli 308 katika mechi 396 alizocheza nakushika nafasi ya pili katika orodha ya wafungaji bora wa klabu hiyo nyuma ya Raul Gonzalez Blanco mwenye rekodi ya magoli 323.
Popular Posts
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Kindumbwe ndumbwe cha michuano ya klabu Bingwa Afrika mashariki na kati maafuru Kagame Cup kinaanza kesho ambapo mechi ya ufunguzi ya Kund...
-
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa ...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us