Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Wednesday, July 9, 2014

Baada ya TID kumtusi Ray C, haya ndiyo majibu yake

Mwimbaji wa kike wa Bongo Flava, Ray C hatimaye amemjibu mmiliki wa top Band, TID baada ya kumtolea matusi siku kadhaa zilizopita alipomuomba wazungumze.

Ray C ameyatoa majibu yake kupitia Instagram katika ujumbe alioukuwa wamewalenga pia mashabiki wake.
Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema…………(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa………..

Sintofahamu kati ya Ray C na TID ilikuja baada ya Ray C kuandika kwenye post ya TID akimuomba waongee, “Come lets talk Tid ur the best musician in east Africa pls lets talk @tidmnyama.” 
Ingawa hakufafanua alichotaka kuzungumza nae, mmiliki huyo wa Top Band aliweka maelezo yake yenye matusi. 

Bich leave me alone am not ur type also I dont need shit from you,ur mistake is yours nakuomba can u jus fck off,help ur boyfriend,I have never liked you,full stop.