Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Sunday, July 13, 2014

Binti amtumia baba yake picha yake ya uchi

Mwanafunzi wa chuo anatamani angeweza kurudisha mshale nyuma baada ya kukosea kutuma ujumbe wa uchi kwa baba yake – badala ya kwa mpenzi wake. 
Nymah Amhari Cousar mkazi wa Inglewood, California, alituma picha yake kwa ‘Daddy’ yake wakati akiwa bafuni badala ya kwa mpenzi wake “Dasquan.” Hiyo ni kwa mujibu wa mtandao wa Twitter.

''OMG (Ooh my God), nitakataje ujumbe huu!!!” aliandika kwa woga.  Akiwa amejifungia bafuni, baba yake alitaka afungue mlango. Alipokataa, alisema yupo chooni: Oh ushapata aibu zote sasa! Fungua mlango!.

Nyjah alimuacha baba yake aingie ndani, alikuwa na hasira kwa binti yake kumkosea heshima” 
Baba yake alisema huo sio mchezo, kwani alitakiwa awe shuleni. Na ndipo alipomuuliza kuwa alikuwa anamtumia nani hiyo picha.