Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Sunday, July 13, 2014

Picha: Diamond Platnumz akiwa kwenye red carpet ya uzinduzi movie ya 'Think like a men to'

Msanii Diamond Platnumz akihojiwa wakati wa uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN jana.
Mtangazaji wa Television kubwa duniani ya E, Terrence J yupo nchini Tanzania, ambapo pamoja na mambo mengine, jana 'alihost' uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN ambayo na yeye ni mmoja wa nyota walioigiza humo.
Msanii Diamond Platnumz pamoja na wageni alioambatana nao akiwemo Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wakati wakiwasili katika uzinduzi huo.