Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Saturday, July 5, 2014

Diamond kuachilia video mbili kwenye siku kuu ya kuzaliwa mama yake, Fahamu alicho andika hapa

Mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na mshindi wa tuzo za KORA kwa wasanii wa Afrika Mashariki anaye hiti mata kwa mara kwenye media Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amehaidi kuachilia video mbili tarehe 07 July, 2014 ambayo ni siku ya jumatatatu na siku ya siku kukuu ya wafanyabiashara.

Kupitia account zake za facebook, twitter na Instagram ameandika haya akiwa ameambatanisha na picha ya mama yake hiyo hapo juu.

''Kusheherekea siku ya Kuzaliwa kwa Mama yangu kipenzu tareh 07/ 07 jumatatu hii ntadondosha Video zangu Mbili kwa Pamoja....! Hakikisha unakaa karibu na Media zako...!!👌 [As Iam celebrating my lovely mummyz birthday this Monday, I will also release my 2 videos at once... Make sure u pay attention to every media....!!!👌 ]''