Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Friday, July 4, 2014

FIFA World Cup 2014 mechi ya Brazil vs Colombia 2-1, kama uliipenda unaweza kui download hapa

Mchezo wa pili ulizikutanisha Brazil ambao ni wenyeji dhidi ya majirani zao Colombia.  Magoli ya mabeki Thiago Silva na Rafiki yake wa tangu utotoni David Luiz yakaipeleka Brazil kwenye nusu fainali dhidi ya Ujerumani.
Colombia walipata goli lao la kufutia machozi kupitia mkwaju wa penati wa mshambuliaji James Rodriguez, moaka refa anamaliza mpira Brazil 2-1 Colombia.

Tumia link/Copy link hiyo hapo chini kwaajili ya ku download DK 90 za mchezo huo.
http://kickass.to/fifa-world-cup-2014-quarterfinal-brazil-vs-colombia-720p-hdtv-x264-balls-rartv-t9294639.html#main

Brazil

  • 12 Julio César Booked
  • 23 Maicon
  • 06 Marcelo
  • 08 Paulinho (Hernanes - 86' )
  • 03 Thiago Silva Booked
  • 04 David Luiz
  • 10 Neymar (Henrique - 88' )
  • 05 Fernandinho
  • 09 Fred
  • 11 Oscar
  • 07 Hulk (Ramires - 83' )

Substitutes

  • 01 Jefferson
  • 02 Dani Alves
  • 13 Dante
  • 14 Maxwell
  • 15 Henrique
  • 16 Ramires
  • 18 Hernanes
  • 19 Willian
  • 20 Bernard
  • 21 Jô
  • 22 Victor

Colombia

  • 01 Ospina
  • 18 Zuñiga
  • 07 Armero
  • 06 Sánchez
  • 02 Zapata
  • 03 Yepes Booked
  • 11 Cuadrado (Quintero - 80' )
  • 13 Guarín
  • 09 Gutiérrez (Bacca - 70' )
  • 10 Rodríguez Booked
  • 14 Ibarbo (Ramos - 45' )

Substitutes

  • 04 Arias
  • 05 Carbonero
  • 08 Aguilar
  • 12 Vargas
  • 15 Mejía
  • 16 Balanta
  • 17 Bacca
  • 19 Ramos
  • 20 Quintero
  • 21 Martínez
  • 22 Mondragón
  • 23 Valdés

Mechi za kesho ni Belgium Vs Argentina saa 1 usiku na Costa Rica vs Holland hii itakuwa saa 5 usiku