Wasanii hawa maarufu wa Tanzania 'Wema Sepetu na Nasib Abdul aka Diamond Platnumz' ambao wamechukuwa headline sana kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii, wamezidi kuonyesha mahusiano yao kuwa ya karubu na undani zaidi kuliko hapo ilipokuwa awali.
Picha hizi ni picha ambazo Wema amezi share weekend hii iliyoisha kwenye account yake ya Instagram na kusababisha kupata comment nyingi kutoka kwa watu wanao wafuatilia.
Sunday, July 20, 2014
Hapa zipo picha 8 zinazo tizamwa sana za Wema Sepetu akiwa na Diamond walizo share Instagram
Labels:
Entertainment,
Life Style,
Love Zone,
Photos