Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Sunday, July 20, 2014

Baada ya Ali Kiba kusema siti yake kwenye bongo fleva haijakaliwa na mtu, haya ndiyo majibu kutoka kwa Diamond

Baada ya Ali Kiba Kunukuliwa akisema kwenye interview kuwa “Siti yangue kwenye bongo fleva haijakaliwa na mtu ila inavumbi tu” Inasemekana hili ndio jibu la Daimond kuhusu maneno hayo ya Ali Kiba.
''Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke... Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu wa mataifa Mengine ili nilete Sifa na Heshima Nchini kwetu....''

Baada ya maneno haya ya Diamond, Comment za mashabiki zimeonyesha kuwa hawafurahishwa na ugomvi unaoendelea kati yao ukizingatia wote ni wasanii wakubwa wanaofanya muziki wa Tanzania kujulikana Africa na dunia kwa ujumla.