Kumetokea vifo vingi vimetokea katika eneo la Gaza kwa siku moja tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Palestina mapema mwezi huu.
Wapalestina zaidi ya sitini kati yao wameuawa kwa kurushiwa mabomu katika mtaa wa watu wengi wa Shejaiya moja ya vitongoji vya jiji la Gaza.
Israel inasema imewapoteza wanajeshi wake 16 katika mapigano hayo. Kundi la wapiganaji la Hamas wamesema linamshikilia askari mmoja wa Israel huku Jeshi la Israel likisema linaifuatilia taarifa hiyo.
Nyumba nyingi katika Shejaiya zimeachwa zikiwa kifusi kwa kupigwa mabomu na maelfu ya wakazi wamelazimika kuyahama makazi yao.
Zaidi ya wapalestina 420 wameshauawa tangu kuanza kwa mashambulizi yanayofanywa na Israel kwa siku 13 sasa huku Israel ikiwa imeshapoteza watu 20 kati yao raia wawili.
Kupitia katika Televisheni ya taifa, Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema mashambulizi dhidi ya Gaza yataendelea kadri itakavyowezekana ili kuurejesha hali ya usalama Israel.
Katika mazungumzo ya simu, Rais Barack Obama wa Marekani amemwambia Netanyahu kuwa ni haki ya Israel kujilinda lakini akaonya juu ya kuongezeka kwa madhara ya mapigano hayo ikiwamo majeraha na vifo.
Rais Obama anamtuma John Kerry waziri wake wa mambo ya nje kuelekea Cairo katika mazungumzo ya kusitisha mapigano.
Alipokuwa Doha, Qatari, Kerry alilaumu hatua ya Israel na akasema inahatarisha amani ya eneo zima.
Popular Posts
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us