Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Wednesday, July 16, 2014

Japokuwa na muonekano wa mvuto, Kardashian akerwa na muonekano wake wa sasa

Picha ya Kim Kardashian
ya mwaka 2010, aliyoituma kwenye
ukurasa wake wa instagram kabla
Baby North hajazaliwa.
Inavyoonekana mwanadada mrembo Kim Kardashian 33, ameli ‘misi’ umbo lake la zamani kabla ya kumpata binti yake North West mwenye umri wa  miezi 13 mpaka sasa. 

Katika ukurasa wake wa Instagram Kim alituma picha ya mwaka 2010 ikimuonyesha umbo lake kipindi alivyokuwa mwembamba. 

Katika picha hiyo aliambatanisha maneno yafuatayo; ‘Throwback to a few years ago#skinnyDays’.

Hata hivyo staa huyo maarufu kama Mrs. West yupo katika diet pamoja na ratiba ya mazoezi ya mwili ili kuhakikisha anapunguza uzito alioupata baada ya kujifungua ili kurejea katika umbo lake la mwanzo lililokuwa likikosha nafsi za wengi.