Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Monday, July 14, 2014

Kuhusiana na msanii Jaguar kugeukia nyimbo za 'malovee'

Baada ya kutamba na wimbo wake 'Kipepeo', msanii ambaye nyota yake inazidi kung'ara kwa mafanikio Jaguar hivi sasa amejipanga kuachia wimbo wake mpya utakaokuwa katika mahadhi ya kimahaba zaidi.
Msanii wa Kenya Jaguar

Mkali huyo wa kibao cha Kigeugeu' ameelezea kuwa tayari amekwishamalizia kuurekodi wimbo huo na anatarajia kuanza kufanya shooting yake nchini Afrika Kusini. 

Aidha, Jaguar hakutaka kuelezea zaidi jina la wimbo huo mpya ambao utafanyiwa kazi chini ya lebo ya Ogopa.