Msanii wa Bongo Movie Kajala Masanja leo amemuandikia ujumbe binti yake Paula ambaye alizaa na Producer P Funk ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa kwa Paula na huu ndo ujumbe alioandika kwa mwanae katika mtandao wa Instagram.
Miaka 12 iliyopita sikuwahi kujua kama itafikia siku nitajisikia hiki ninachofeel siku ya leo.. nimepitia mambo mengi sana na wewe.. nimepata shida nyingi mno lakini sikukuacha wala kukutupa.. kwenye jua ama mvua, iwe usiku ama mchana katika mitihani yote niliyopitia nilikuwa na wewe tu mwanangu.. ulikuwa kama pochi yangu.. bila kujua kesho utakuwa NANI!! nilikupenda tangu siku ya kwanza nakuona.. nilikuthamini na kuahidi nafsi yangu kuwa nitakufa na wewe katika hali yoyote ile bila kujua wewe una hisia gani juu yangu… wala sikujua kama unaweza kuja kuwa faraja kwangu.. Paula!!! Mtoto wangu wa utotoni.. mtoto ambae nna historia kubwa na wewe..
LEO napenda kumshukuru sana MUNGU kwa kunipatia wewe.. sababu uwepo wako wa miaka 12 kwenye Dunia hii umenipa majibu yote ya maswali niliyokuwa najiuliza… Umekuwa faraja kubwa sana kwenye maisha yangu.. Pamoja na umri wako kuwa mdogo umeweza kusimama na mimi kwenye hali zote.. nimeshuhudia lililoniumiza likikuumiza pia.. umenifanya nione thamani yangu.. umenipa thamani kubwa sana kwenye maisha yako.. katika safari hii umenihakikishia kuwa nina mtu mmoja ambae hata Dunia nzima initenge na kunizomea.. YEYE ATABAKI KUWA NA MIMI!!! Tena kwa moyo mmoja na mapenzi… na mtu mwenyewe si mwingine yoyote.. ila ni WEWE mwanangu.. nakupenda sana Paula!! Na nakuombea MUNGU akukuze kwenye imani na akupe kila la kheri katika dunia hii.. nilikupenda jana ukiwa mikononi mwangu, ninakupenda leo ukiwa binti na naahidi kukupenda milele katika maisha yangu ukiwa kwenye hali yoyote ile.. ulikuwa wa kwangu na utaendelea kuwa wa kwangu mpaka mwisho wa maisha yangu.. HAPPY BIRTHDAY my daughter!!!! NAKUPENDA SANA!
Popular Posts
-
New Music: Professor Jay ft J Hustle and Nigga J - 3 Chafu
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
The third installment of the popular The Expendables movie franchise won't hit theaters until August 15th, but a near perfect copy has ...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
1. Transformers: Age of Extinction A mechanic and his family join the Autobots as they are targeted by a bounty hunter from another wor...
-
Meet Corazon Kwamboka from Kenya,which i prefer to call MISS B00TY,she’s beautiful and voluptuous, check out her stunning photos After ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Men have to love the fact that twerking has gone from the hood other countries around the world. I just hope they don't think Miley Cy...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us