Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Thursday, July 3, 2014

Mwanamuziki maarufu wa nchini Kenya Anto Neosoul kufanya ziara DSM

Mwanamuziki maarufu wa nchini Kenya Anto Neosoul anajiandaa na ziara yake ya muziki Afrika Mashariki akianzia kwanza mjini Mombasa nchini Kenya mnamo tarehe 5 mwezi huu atakapotumbuiza na mwanadada Jaya.
Mwanamuziki Anto NEosoul wa nchini Kenya
Anto Neosoul anayefanya vyema na wimbo wake uitwao 'Pay My Dues' amesema kuwa baada ya onesho hilo anatarajia pia kutua jijini Dar es Salaam na kupata fursa ya kukutana na wasanii mbalimbali nchini. 

Aidha Anto NeoSoul ameelezea kuwa ziara hiyo kubwa Afrika Mashariki itachukua muda wa miezi minne.