Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Wednesday, July 16, 2014

New Video: Linah – Ole Themba Sandu

Hatimaye video mpya ya Linah aliyoifanya Afrika Kusini na muongozaji GodFather imeachiwa rasmi. Wimbo unaitwa ‘Ole Themba, video na audio vyote vimefanyika Afrika Kusini. Linah ambaye kwa sasa ana uongozi mpya uitwao No Fake Zone Entertainment (NFZ), jana ameagwa rasmi na Tanzania House of Talenta (THT) iliyompika na kumlea hadi alipopata jina na kuanza kujitegemea.