Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Wednesday, July 16, 2014

Stella Mwangi aka STL kutoa 'Biashara' remix Ijumaa hii

Msanii Stella Mwangi aka STL wa Kenya
Nyota wa kike anayezidi kulijenga jina lake kimataifa zaidi Stella Mwangi aka STL, ametoa kidokezo cha video ya wimbo wake mpya 'Biashara' aliowashirikisha wasanii Khaligraph & Kristoff.

Nyota huyo wa kike mkali nchini Kenya ametoa kidokezo hicho kifupi kwa ajili ya mashabiki wake ili wapate kuona ni aina ya ladha watakayoipata katika video yake inayotarajiwa kutoka ikiwa ni remix ya wimbo wake 'Biashara'. 

STL ameelezea kuwa anatarajia kudondosha kichupa hicho Ijumaa ya wiki hii ambacho amewashirikisha wakali hao wa hip hop Khaligraph Jones na Kristoff.