Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Tuesday, July 22, 2014

Nikki wa Pili na G-Nako waishambulia kwa michano 'Mamong'oo ya Jambo Squad

Rappers wa kundi la Weusi, Nikki wa Pili na G-Nako wamekutana na kundi la Jambo Squad na kuifanya remix ya wimbo uliowapa tuzo ya KTMA mwaka juzi, ‘Mamong’oo’. 
Nikki wa pili ametoa taarifa za collabo hiyo kupitia Instagram na kupost picha akiwa na wasanii wa kundi hilo jijini Arusha, wanaojulikana pia kama ‘Watoto wa Bibi’. 

Jambo squad watoto wa bibi wameniibukia maskani river camp...then tukaenda studio kufanya mamong'oo remix...Tanx dx pia kwa kunipa track... Tuka aribia na kichaa wangu wara war.