Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Sunday, July 20, 2014

Picha: Hizi picha mpya za Agnes Masogange ambazo zinaongoza kwa kutizamwa

 Ukimuongelea malkia wa video hapa Bongo, basi asilimia kubwa wanamuweka kichwani mrembo mwenye umbo la mmvuto ambaye kwa sasa inasemekana amehamishia maisha yake Afrika Kusini. Sio mwingine ni Agnes Masogange ambaye amekuwa akiongoza kwa kupata watazamaji wengi anapo post picha instagram.