Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchinia, Alli Kiba ambaye amekaa kwa muda bila kutoa wimbo wake ukasikika kwenye vyongo vya habari au ku downlodiwa kwenye social network leo amepata sifa kutoka kwa msanii wa filamu nchini Jackline Wolper.
Kupitia account yake ya Instagram Wolper ameandika haya ''MIMI NAKUBALI TUU KAZI ZAKE ...ATA WE JIRANI YANGU HAPA IGERZ NAAMINI UNAMKUBALI..HAYA TUSHINDE SALAMA NA MUNGU ATULINDE AMEN..'' akiwa kaambatanisha na picha ya Ali Kiba hiyo hapo juu. Hop kumsikia Ali Kiba soon kwenye burudani ya muziki.
Sunday, July 20, 2014
Kupitia Instagram Jackline Wolper ameeleza hisia zake kwa Ali Kiba, haya ndiyo aliyosema
Labels:
Entertainment