Rapper anaye kick kwenye game la muziki hapa Tanzania, Young Killer Msodoki anatarajia kuachilia ngoma yake ambayo ameshirikana na msanii mkongwe nchini Banana Zoro kwenye ngoma iitwayo 'Umebadilika'.
Kupitia account yake ya Instagram na wasanii wengine akiwema Jackline Wolper wamepata kuongelea wimbo huo baada ya kuusikiliza kabla haujaachiliwa rasm.
Jackline Wolper ameandika ''NIMEISIKIZA MDOGO WANGU SAFII SAANA KAZ NZUR BANANA KATENDA HAKI PIA... @youngkillermsodoki''
So nadhani tusubiri tar 22 July, 2014 kwa ngoma hii.
Popular Posts
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us