Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Sunday, July 20, 2014

Picha: Mastaa wenye tattoo kali duniani

Staa wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza David Beckham 39, ambaye kwasasa amejikita katika fani ya uwanamitindo ‘Modal’
Staa wa zamani wa timu ya ligi kuu ya Uingereza Liverpool  Djibril Cisse, mwenye tattoo 40 katika mwili wake.
Raul Meireles mchezaji wa zamani wa timu za Chelsea na Liverpool.
Daniel Agger beki wa timu ya taifa ya Denmark na klabu ya soka ya Liverpool, huku viganja vyake vikiwa na maandishi ya YNWA (You Will Never Work Alone).
 Stephen Ireland akionyesha tattoo yake aliojichora mabawa ya malaika.
 Kevin Prince Boateng, wa timu ya taifa ya Ghana pamoja na klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani.
 Daniel Alves wa Barcelona pamoja na timu ya taifa ya Brazil.
 Nigel de jong wa uholanzi pamoja na klabu ya AC Milanya nchini Italia.
Clint Dempsey wa timu ya taifa ya Marekani.