![]() |
| Wanachama wa FRELIMO wanaoishi Zanzibar wakimpokea Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama chao Mheshimiwa Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili Zanzibar. |
![]() |
| Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkaribisha Mgombea wa nafasi ya Urais nchini Msumbiji kwa tiketi ya chama cha FRELIMO Mh. Filipe Nyusi, Ikulu ya Zanzibar ambapo walifanya mazungumzo. |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akimkaribisha Mheshimiwa Filipe Nyusi Mgombea wa nafasi ya Urais kutoka chama cha FRELIMO Msumbiji |




