Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Wednesday, July 16, 2014

Picha: Muonekano mpya wa Chris Brown

Baada ya kutoka jela, Chris alioanekana kubadilika umbo na kunenepa kiasi cha wengi kuhisi aliishi maisha mazuri akiwa jela. 
Mwimbaji huyo wa New Flame ameonekana kuendeleza mabadiliko kwa kutengeneza mtindo mpya wa nywele na kuzitoa rangi za awali zilizokuwa kichwani kwake.