Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Tuesday, July 15, 2014

Picha na Video: Moto waunguza nyumba na maduka Mwananyamala A

Hitilafu ya umeme imepelekea nyumba tatu pamoja na fremu za maduka za bidhaa mbalimbali kuwaka moto, na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wa eneo hilo.
Akizungumza na Taarifa News Polisi wa Kikosi cha Zimamoto (FIRE) Sagini Meja Sarehe Ally Mohamed alisema kuwa, jitihada za kuzima moto huo zinaendelea katika eneo hilo, japo wananchi nao wameonesha ushirikiano kwa kuzima moto huo kwa kuchota maji machafu ya mferejini.

Kwa upande wa wakazi wa eneo hilo walifika kuzima moto huo, wameonesha kukasirishwa na Kikosi hicho kuzima moto kwa kusema kuwa, wamefika katika eneo hilo saa tatu baada ya moto kuwaka na hawakuwa na maji ya kutosha.