Kwa mara ya kwanza girlfriend wa msanii ‘Chris Brown’ mwanadada ‘Karrueche’ atoa machozi akizungumzia Drama za mwanadada Rihanna na mashabiki wake kwenye mahojiano na mtangazaji ‘Just KeKe’ on BET, akizungumzia maisha yake binafsi.
Hasa maumivu aliyoyapata baada ya Chris Brown kuanza upya kutoka na Rihanna baada ya matatizo yao ya kupigana na kuachana.
Tuesday, July 15, 2014
Video: Karruche’ atoa machozi akihojiwa kuhusu Rihanna na Chris Brown
Labels:
Entertainment,
Love Zone,
Video