Staa wa Kerewa, Nurdin Bilal ‘Shetta’ juzikati alijikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa uji wa moto na Mbongo-Fleva mwenzake, Mwajuma Abdul ‘Queen Darleen’.
Tukio hilo la aina yake lilijiri muda mchache baada ya tafrija iliyoandaliwa na uongozi wa No Fake Zone ‘NFZ’ kwa ajili ya uzinduzi wa video mpya ya Linah na kuaga rasmi menejimenti ya Jumba la Vipaji Tanzania (THT) pande za Kinondoni jijini Dar.
“Unajua leo ni siku ya kuzaliwa ya Shetta, ikiisha tu hii shughuli namuita nje na kummwagia maji yeye mwenyewe hajui,” alisikika Ommy Dimpoz.
Baada ya tukio hilo ndipo Shetta alipotoka nje na kukutana na ishu hiyo ya kummwagia maji kisha Queen Darleen akamaliza mchezo kwa kummwagia uji.
Popular Posts
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Wakati Michael Jackson akiwa amelala kwenye nyumba yake ya milele, bado familia yake imeendelea kuandamwa na tuhuma nzito zinazomhusu mfalme...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us