Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Monday, July 21, 2014

Kajala Masanja ‘K’ ameibuka na kukanusha madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ ameibuka na kukanusha vikali madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita jijini Dar, Kajala alifunguka kwamba madai hayo hayana ukweli wowote na wala hana ukaribu na mtangazaji huyo.

Mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect.
 
Sina relation (uhusiano) kama huo na Perfect zaidi ya kazi tu,” alisema Kajala huku Perfect akiwa hapatikani hewani kila alipotafutwa.