Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Thursday, July 31, 2014

Picha: Rapper Iggy Azalea Kuonekana Kwenye Filamu ya Fast & Furious 7

Rapper wa kike kutoka Australia Iggy Azalea anayetamba na nyimbo kama Fancy na No Mediocre amepata nafasi ya kuonyesha kipaji chake cha kuigiza kwenye filamu kubwa ya Fast & Furious 7. 

Habari hizi nzuri kwa wapenzi wa filamu zimetangazwa na mwigizaji Vin Diesel ambaye mara nyingi hufanyiwa Interview kuhusu hizi filamu. Interview hii amefanyiwa na Skyrock Fm. Filamu hii inatoka April 3 2015 na itahusisha wasanii waliokuwepo kwenye tolio lililopita kama Ludacris na Tyrese