Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Thursday, July 10, 2014

Picha: Rick Rozay atoka na mrembo huyu

Mrembo akiwa amevaa cheni yenye jna la lebo ya Maybach Music Group ambayo iko chini ya Rick Rozay.
Rapper Rick Ross baada ya kupiga tizi na kupunguza uzito sasa ameingia kwenye mapenzi tena na huyu mtoto mzuri anayefahamika kama Paige Imani kutoka Miami. 

Weekend hii model huyu ameweka wazi mahusiano yake na Rozay kwa kumwaga picha zao kwenye mtandao wakiwa pamoja.