Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Thursday, July 10, 2014

Davido afanya show mbele ya rais Kagame na marais 9 wa Afrika

Msanii wa Nigeria ambaye ni mshidi wa tuzo ya BET, Davido alipamba sherehe za kumbukumbu ya siku ya uhuru wa Rwanda kwa kupiga show kali mbele ya rais Rwanda na marais wengine 9 wa Afrika. 
Davido alipata mualiko maalum na alipokelewa na familia ya Kagame uwanja wa ndege.

Kwa mujibu wa blog ya linda ikeji, Davido alipomaliza show hiyo mbele ya umati wa watu zaidi ya 60,000 aliombwa na familia ya Kagame akaimbe angalau wimbo wa Aye huko Ikulu lakini camera hazikuruhusiwa katika show hiyo.