Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Thursday, July 10, 2014

Prof. Jay aalika mashabiki kwenye “Kipi Sijaskia”

Professa Jay amepanga kuifanya video ya hit yake ya ‘Kipi Sijasikia’ aliyomshirikisha Diamond Platinumz, Jumamosi hii (July 12,) na hataki kumuweka mbali shabiki anaependa kazi yake. 
Professa ametoa mualiko maalum kwa shabiki wake anaependa kushiriki katika video hiyo kupitia kadi maalum aliyoiweka Instagram.

Kings and QUEENS wote mnakaribishwa wkeney video shooting ya KIPI SIJASIKIA MUHIMU; Vigezo na masharti kuzingatiwa!!!” Ameandika Profesa Jay kwenye Post yake Instagram