Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Thursday, July 3, 2014

Shakira, Wycleif Jean na Carlos Santana kutumbuiza kwenye fainali ya kombe la dunia

Muimbaji mrembo mwenye asili ya Colombia, Shakira atatumbuiza kabla ya mechi ya fainali ya kombe la dunia itakayofanyika Rio de Janeiro,Brazil, July 13.    
Wengine watakaotumbuiza siku hiyo ni mcheza gitaa maarufu Carlos Santana na rapper Wyclef Jean. Shirikisho la soka duniani, FIFA limesema Shakira, ambaye atatumbuiza kwa mara ya tatu mfululizo kwenye fainali za kombe la dunia ataimba wimbo La la la (Brazil 2014) na muimbaji wa Brazil, Carlinhos Brown. 

Santana, Wyclef na muimbaji wa Brazil, Alexandre Pires watatumbuiza wimbo rasmi wa mashindano hayo, “Dar Um Jeito” kwenye uwanja Maracana.